Kwenye Swahilies kuna vipengele vikuu 3 ambavyo ni “Market”, “Goals” na “Learn”.Tumeelezea muongozo wa kila kipengele hapa chini;

Market

Market” ni kipengele cha masoko ambacho kinakuwezesha kununua bidhaa mbalimbali kwa kulipa kidogo kidogo, muongozo na masherti ya kipengele hichi ni yafuatato;

Goal

Goals” ni kipengele kinachokuwezesha kujiwekea malengo ya kulipia kidogo kidogo bidhaa na huduma mbalimbali ambazo hata hazipo ndani ya Swahilies.zingatia mambo yafuatayo kwenye kipengele hichi cha “Goals”